Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2020

HII HAPA SABABU YA KWANINI MSHAHARA HAUKUTOSHI

 Hebu fikiri kama ungepata kiasi kikubwa cha kujitegemea kufanya mambo yako... je ungeendelea kufanya kazi ya mtu? hapa naamini hata wewe unngeacha kazi... sasa basi ukiona mambo yako kama hivyo yalivyo basi jua uko kwenye mtego wa ajira kwani kamwe mtego huo upo kukufanya uitegemee ajira milele... haya basi na tujifunze sote kupitia makala hii mpya ya uchumi ambayo imeandikwa na: SOMO LA KWANZA KUHUSU UCHUMI. Jina: Gwemela Conrad Michael. Elimu itolewayo: Ujasiriamali na uchumi. Vitabu vya kuhakiki. 1. Rich dad poor dad by Robert kiyosaki. 2. The power of subconscious mind. 3. The Contagious 4. Art of war by Sitzu. Mobile number: +255674167126 email gwemelaconrad@gmail.com Youtube Channel: Brightermango twitter/instagram: brightermango Awali ya yote nimshukuru mwenyezi Mungu anayetupa uhai huu wa kila siku na kuturuhusu tuyajue yote tunayoyajua kwa sasa. Pili; Nimshukuru Mama na Baba pamoja na familia yangu kwa ujumla kutokana na upendo wao wa dhati kwangu kwa kipindi chote cha maisha