Skip to main content

Posts

UMUHIMU MKUBWA USIOUJUA WA #MAZOEZI.

 Na brightermango.      Mazoezi ni ziada ya kile unachofanya kwa muda mfupi kila siku ili kuuchosha mwili wako, kwa hiyo ukitaka kuyaona matokeo ya mazozoezi unayoyafanya basi ni muhimu sana uwe unazidisha kila wakati mahali ulipoishia kufanya siku iliyopita. Hello?  mimi niko poa na ninamshkuru Mungu kwa uhai wangu. Ni matumaini yangu KUWA NA WEWE NI MZIMA... Ni muda sasa umekuwa ukifanya mazoezi na cha ajabu unajisifia huwa unafanya mazoezi, wakati kila siku unarudia idadi ile ile ya mazoezi, kitu ambacho hakikusaidii chochote, kwani ulichofanya ni sawa na kazi yako unayofanya kujiingizia kipato chako cha kila siku. Hebu sikiliza kwa umakini kwa kile ninachotaka kukwambia,  FAIDA ZA MAZOEZI KWA UJUMLA.  Faida zifuatazo zinaambatana na mwili wenye mazoezi;  1. HUJENGA KINGA IMARA YA MWILI. Kadri unavyofanya mazoezi ndivyo unavyoruhusu utengenezwaji mwingi wa chembe nyeupe za seli za damu ambazo ndio walinzi wakubwa wa mwili wetu, na kwa wakati fu...

JINSI WOTE TULIVYO WASIOHAKI...LAKINI TUNAMUHUKUMU MWIZI.

 HIVI UNAFAHAMU KUWA❓ "HATA MWIZI UNAYEMKAMATA BAADA YA KUKUIBIA, NA YEYE PIA ALIKUWA AKIKAMILISHA FURAHA YAKE, SEMA TOFAUTI NA WEWE, YEYE HAWEZI KUVUMILIA MAUMIVU NA KUKUSANYA KIDOGO KIDOGO NA KWAHIVO ANATUMIA NGUVU KUBWA AKILI MBAYA ILI KUPATA PESA AU MALI NYINGI KWA WAKATI MFUPI BILA YA UCHOVU AU MAUMIVU" matokeo yake yako wazi... Akikamatwa hupatiwa maumivu aliyoyakwepa na hata huchoshwa sana. Kiuhalisia inasemekana kuwa mtu yeyote anayeishi anadhulumu kwa kiasi fulani nafsi au vitu vinanvyomzunguka. Kwa mfano hewa tunayovuta huwa tunaigombania na ndio sababu mapafu yetu hupanda na kushuka IKIWA NI ISHARA YA USHINDANI. Kwenye utajiri pia, ili mmoja awe maskini, ni lazima yule aliyetajiri amfanye maskini asiwe na elimu...maarifa na zaidi awe na utiifu kwake...kitu ambacho kinafanya sisi kama jamii tuone sawa japokuwa si sawa na ama hakika Mabadiliko ya lazima yanahitajika haraka kwenye jamii yetu. TATIZO KUU. "KWENYE JAMII YETU KUNA VITU WAMESHAVIKUBALI NA KUONA VIKO ...

MAMBO 4 YA KUACHA SASA ILI UWE MSHINDI.

 Na, Brightermango. MAMBO 4 YA KUACHA SASA ILI UWE MSHINDI.  1. ACHA KUANDAMANA NA WATU WASIO SAHIHI. Maisha haya ni mafupi kiasi kuwa kama tutaruhusu namna yoyote kuwa na watu ambao muda mwingi wanakurudisha nyuma haiwezi kamwe kuwa sawa au na usaidizi badala yake tutaambulia hasara kubwa. Ishara ya wazi  ya watu hao, mara zote wana kuwa na wewe kwenye muda wako wa juu wa mafanikio lakini ukianza kushuka hutomuona yeyote kati yao.   Anza kuandamana na watu sahihi: hawa ni wale tu ambao wanatambua mchango wako na kuelewa zaidi hata kama hujawaeleza kukuhusu. photo: Employment page. 2. ACHA KUKWEPA AU KUKIMBIA MATATIZO YAKO. Saa chache unapokutana na tatizo huwa unapatwa na hofu... lakini kumbuka kadiri unavyojiimarisha zaidi katika kutatua changamoto ndivyo unavyokomaa kukabili nafasi za juu na kubwa hapo mbeleni aidha kwenye ajira au binafsi. ...Jaribu sasa kupambana nayo; Ukweli ni kwamba hata kama ungepaa juu zaidi na kuishi huko ulikokwenda huwezi kukwepa matatiz...

HII HAPA SABABU YA KWANINI MSHAHARA HAUKUTOSHI

 Hebu fikiri kama ungepata kiasi kikubwa cha kujitegemea kufanya mambo yako... je ungeendelea kufanya kazi ya mtu? hapa naamini hata wewe unngeacha kazi... sasa basi ukiona mambo yako kama hivyo yalivyo basi jua uko kwenye mtego wa ajira kwani kamwe mtego huo upo kukufanya uitegemee ajira milele... haya basi na tujifunze sote kupitia makala hii mpya ya uchumi ambayo imeandikwa na: SOMO LA KWANZA KUHUSU UCHUMI. Jina: Gwemela Conrad Michael. Elimu itolewayo: Ujasiriamali na uchumi. Vitabu vya kuhakiki. 1. Rich dad poor dad by Robert kiyosaki. 2. The power of subconscious mind. 3. The Contagious 4. Art of war by Sitzu. Mobile number: +255674167126 email gwemelaconrad@gmail.com Youtube Channel: Brightermango twitter/instagram: brightermango Awali ya yote nimshukuru mwenyezi Mungu anayetupa uhai huu wa kila siku na kuturuhusu tuyajue yote tunayoyajua kwa sasa. Pili; Nimshukuru Mama na Baba pamoja na familia yangu kwa ujumla kutokana na upendo wao wa dhati kwangu kwa kipindi chote cha ma...

HEY YOU THERE... WHAT ARE YOU WAITING FOR?

It is called liking and not loving... if he could have been loving you...he probably could be doing these.. I mean caring actions would be his song towards you.. and good example is that of flower.. when we pluck it from its pot.. that is showing affection... which may result out of greedy and if you water the flower on its pot.. that means you love them..... are we clear now??

IS IT TRUE THAT "LEARNING IS ALL ABOUT REHERSAL''

TAP down bellow in the comment place and share your opinion over this topic of discussion.

DID YOU EVER ASK YOURSELF ABOUT THIS BEFORE ? THAT FATE RELY ON YOU CHOICES?

Well it may sound bit rude to ask a kind of such question, but indeed we need to the answer to be assured of one thing, and that is our mind safety on everything that we daily do. some of the other tend to happen as coincidences but other are bit difficult to decide whether they have happened just as the coincidence and therefore put us into worry. you know what? in Africa, people with just such curiosity goes to witch doctors that they may know what holds their future. with the false telling and sometimes enmity creation between the family members is being planted by these witch-doctors.   Which is why people tend to be brought around the corner with nothing related to the future that they were after, unknowingly they become servants to the blasphemer(devil), hahahah um, it is sometime big thing to come up with the idea of fate that holds the future, it is because of what fate holds unto us and the total surrounding that we are in, that we grow curiosity toward future.   ...